Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, April 4, 2012

PICHA MBALIMBALI MKOANI RUKWA

Kanisa Katoliki la Namanyere wilayani Nkasi lililojengwa miaka kadhaa iliyopita.Mmiliki wa mtandao huu Joachim Nyambo nina historia kubwa na kanisa hili kwani nikiwa mtoto nilipata ubatizo hapa na pia komunio ya kwanza kabla sijauhama mji wa Namanyere

No comments:

Post a Comment