Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, April 7, 2012

MATUKIO MBALIMBALI YA KIFO CHA MSANII GWIGI WA UIGIZAGI STEPHEN KANUMBA ALIYEFARIKI USIKU WA KUAMKIA LEO

IMG_20120407_073433

Maofisa wauguzi wakiuingiza mwili wa Marehemu Kanumba chumba cha Mauti katika hospitali ya Muhimbili.
IMG_20120407_073439
Ray Kigosi mwenye kapelo akishuhudia mwili wa swahiba wake ukiingizwa chumba cha Maiti Muhimbili usiku huu.
IMG_20120407_073506
Msanii ambaye kwa sasa anakuja juu kwa kasi JB akiwa na masikitiko makubwa ndani ya chumba cha maiti Muhimbili.
IMG_20120407_073619
Mashabiki wakiwa wamekusanyika katika viunga vya hospitali ya Muhimbili. 
image

No comments:

Post a Comment