Lyamba Lya Mfipa
Na Joachim Nyambo
Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com
Saturday, April 21, 2012
UNHCR YAWANOA WASIMAMIZI WA SHERIA WAKIWEMO WANAHABARI
Waandishi wa habari walikuwa miongoni mwa wasimamizi wa sheria walionolewa kwa muda wa siku mbili na maofisa kutoka shirika la kuhudumia waakimbizi UNHCR
Semina hiyo imefanyika katika hoteli ya Paradise Inn iliyopo jijini Mbeya
Washiriki wengine wa semina hiyo walikuwa maofisa usalama wa wilaya na mkoa,maofisa wa jeshi la polisi,maofisa uhamiaji
Mwandishi mkuu wa Blogu ya Lyamba Lyaa Mfipa akifuatilia kwa makini maelezo ya mmoja wa wawezeshaji wa semina hiyo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment