Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, April 16, 2012

MBEYA WATISHIA KUTOUZA PARETO YAO

Halmashauri ya wilaya ya Mbeya imemetishia kuweka msimamo wa kuwashawishi wananchi kutouza zao la pareto katika msimu ujao iwapo serikali haitataka soko huria katika ununuzi huo.

Hayo yamejadiliwa na kuazimiwa katika kikao kifupi kilichowakutanisha madiwani na baadhi ya viongozi wa kampuni mbalimbali zilizoshiriki kununua pareto lakini kwa kupewa leseni mwishoni mwa msimu uliopita lakini huenda msimu ujao wasipewe leseni hizo

No comments:

Post a Comment