Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, April 23, 2012

KIMONDO KILICHOPO WILAYANI MBOZI

Hii ni picha ya kimondo kilichopo wilayani Mbozi mkoani Mbeya.Ni fursa ya kipekee ya kitalii ambayo mkoa haujaitumia ipasavyo kwa kuitangaza ipasavyo duniani

No comments:

Post a Comment