Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, April 23, 2012

MADEREVA ARUSHA-MBEYA WATUHUMIWA KUSAFIRISHA MIRUNGI

Madereva wa mabasi yanayosafirisha abiria kwa safari za Arusha Mbeya wanatajwa kuwa miongoni mwa wasafirishaji wakubwa wa Mirungi kutoka jijini Arusha kupeleka mikoa ya Dodoma,Iringa na Mbeya.

Uchunguzi uliofanywa na Lyamba Lya Mfipa umebaini kuwa hata pale askari wa barabarani (Traffic) wanapokuwa wamepewa taarifa juu ya dereva kupakia milungi katika gari yake na kupewa namba za basi husika wamekuwa wakishindwa kuwa kamata kwakuwa madereva hao hubadikli vibao vinavyoelekeza safari za gari husika kila wanapokaribia kituo cha askari hao

No comments:

Post a Comment