Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, April 26, 2012

MIAKA 48 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

 
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono baadhi ya watu waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment