Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Monday, April 2, 2012

CHADEMA YAIGALAGAZA CCM RUNGWE

Kwa CCM ni msiba mzito lakini kwa Chadema ni furaha na kicheko.Ni baada ya CCM kushindwa kutetea kata iliyokuwa ikiongozwa na diwani kutoka chama hicho kabla ya kifo chake kilichotokana na kupigwa  risasi nyumbani kwake.Ikalazimu ufanyike uchaguzi mdogo lakini CCM wakashindwa kutetea kata hiyo
Matokeo Kamili ya Kiwira: Walio Jiandikisha walikuwa 11866 Kura zilizo pigwa zilikuwa 4341 kula zilizo haribika 24, Chadema 2621, CCM 1649, NCCR 33, CUF 13 hivyo Chadema wameshinda katika uchaguzi wa UDIWANI

No comments:

Post a Comment