Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Tuesday, March 13, 2012

KANDORO ZIARANI WILAYANI RUNGWE

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro leo anaanza ziara ya kuitembelea wilaya ya Rungwe na kuzungumza na viongozi na wananchi wa wilaya hiyo.Ziara hiyo itakuwa ya siku mbili yaani machi 14 na machi 16.

No comments:

Post a Comment