Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Tuesday, March 6, 2012

MAZIMISHO YA WANAWAKE CHODAWU KITAIFA HOI,WANAAWAKE WAJIFICHA MAJUMBANI,YABAINIKA MAANDALIZI YALIKUWA HAFIFU HIVYO WANAWAKE HAWAJUI KINACHOENDELEA

 Wanachama wanawake wa chama cha wafanyakazi wa Hifadhi,Mahoteli,Majumbani na huduma za jamii na ushauri(CHODAWU) wakiimba wimbo wa mshikamano daima na waalikwa kabla ya kuanza mkutano wa maadhimisho ya siku ya Ukombozi wa Mwanamke Chodawu uliofanyika katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya leo
 
Wanachama wanawake wa chama cha wafanyakazi wa Hifadhi,Mahoteli,Majumbani na huduma za jamii na ushauri(CHODAWU) wakiwa katika maandamano kabla ya kuanza mkutano wa maadhimisho ya siku ya Ukombozi wa Mwanamke Chodawu uliofanyika katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya leo.

No comments:

Post a Comment