Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, March 9, 2012

MAUAJI YA KUTISHA MKOANI MBEYA

MAUAJI YA KUTISHA MKOANI MBEYA MWANAMKE AKATWAKATWA NA MAPANGA, MWINGINE APIGWA RISASI NA MMOJA ACHOMWA KISU CHA TUMBO KISA REDIO AINA YA RISING YA SHILINGI 16,000/=

Mwili wa Marehemu Tabu Bakari Mwangela (58), ukiwa umeharibika vibaya baada ya kukatwakatwa na mapanga na mtu au watu wasiofahamika katika  Kijiji cha Malamba wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
 Waombolezaji katika msiba wa marehemu Tabu Bakari Mwangela (58), aliyeuawa kwa  kukatwakatwa na mapanga na mtu au watu wasiofahamika katika  Kijiji cha Malamba wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
 
 Ndugu wa marehemu wakilia baada ya kuuona mwili wake Tabu Bakari Mwangela (58), aliyeuawa kwa  kukatwakatwa na mapanga na mtu au watu wasiofahamika katika  Kijiji cha Malamba wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
Waombolezaji katika msiba wa marehemu Tabu Bakari Mwangela (58), aliyeuawa kwa  kukatwakatwa na mapanga na mtu au watu wasiofahamika katika  Kijiji cha Malamba wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
  Waombolezaji katika msiba wa marehemu Tabu Bakari Mwangela (58), aliyeuawa kwa  kukatwakatwa na mapanga na mtu au watu wasiofahamika katika  Kijiji cha Malamba wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
 
Baba mzazi wa marehemu Adam Jason Mwajeka (25), ameuawa kwa kupigwa risasi tumboni na watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi Februari 7, mwaka huu majira ya saa mbili usiku baada ya majambazi hao kuvamia baadhi ya maduka na kupora pesa za mauzo katika maduka kadhaa Kijiji cha Kongoro Mswisi, Kata ya Mswisi, Wilaya ya Mbarali(Picha na Ezekiel Kamanga,Mbeya).

No comments:

Post a Comment