Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Saturday, March 10, 2012

UCHAGUZI WA MUFA ULIOSIMAMIWA NA MWANASHERIA SAMBWEE SHITAMBALA WADAIWA KUWA BATILI

Chama cha soka mkoa wa Mbeya Mrefa kimeukataa uchaguzi wa chama cha soka wilayani Mbeya MUFA uliofanyika Februari 25 mwaka huu kikisema baadhi ya wagombea walipitishwa njia za mkato.  
 Kutokana na hali hiyo chama hicho kimesema hakiwatambui baadhi ya viongozi waliochaguliwa na inabidi uchaguzi urudiwe

No comments:

Post a Comment