Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Sunday, March 11, 2012

OLIVER MOTTO AIBUKA MWANAHABARI WA KIKE JASIRI KWA KUMUUA NYOKA

Mwandishi wa habari wa kituo cha luninga cha Star TV na Radio Free Afrika mkoani Iringa Oliver Motto akionyesha nyoka aliyemuua leo eneo la Ndiuka ,Wanaume waliokuwepo hapo kutimua mbio
Hapa akiwa amemshika kwa mkono kuonyesha ujasiri zaidi

No comments:

Post a Comment