Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Wednesday, March 7, 2012

MBEYA JIJI WAZINDFUA UPANDAJI MITI

Halmashauri ya jiji la Mbeya leo imezindua upandaji miti ambapo miti 3000 imepandwa katika uzinduzi huo kwenye kata ya Isyesye.Upandaji miti huo pia umewashirikishwa wanafunzi kutoka shule mbalimbali za sekondari zilizopo jirani na eneo hilo

No comments:

Post a Comment