Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Friday, June 15, 2012

SHOMARI KAPOMBE MWANASOKA BORA 2011/2012

Mchezaji wa zamani wa timu ya Coast Union ya Tanga na Timu ya taifa Salim Amir akikabidhi tuzo kwa mchezaji Shomari Kapombe
Mwenyekiti wa kamati ya Tuzo za TASWA Masoud Saanane akizungumza katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment