Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, June 14, 2012

SIKU YA MWISHO YA MAFUNZO YA LHRC MBEYA

 WASIMAMIZI WA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU KUTOKA MIKOA MBALIMBALI NCHINI WALIO CHINI YA KITUO CHA LHRA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MAOFISA WA KITUO HICHO BAADA YA SEMINA YA SIKU TATU JIJINI MBEYA
MAAFISA WA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA WALIOSHIRIKI SEMINA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MAOFISA WA KITUO CHA LHRC
MWANDISHI MKUU WA BLOGU HII YA KIJAMII YA LYAMBA LYA MFIPA JOACHIM NYAMBO (WA NKWANZA KUSHOTO)AKIWA NA WASHIRIKI WENGINE PAMOJA NA MAOFISA WA LHRC KATIKA PICHA YA PAMOJA SIKU YA MWISHO YA MAFUNZO

No comments:

Post a Comment