Karibu katika blogu hii,kuwa mmoja wa wale wanaochangia na kujivunia mafanikio yake. Tunakualika kwa mikono miwili wasiliana nasi kwa simu 0756409597 au nyambojoachim@gmail.com

Thursday, June 14, 2012

WAZAZI KUPELEKA WATOTO WALIOSHINDIKANA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI KUMETAJWA KUWA CHANZO CHA KUSHUKA KWA MAADILI YA POLISI NCHINI.


HAYO YAMEBAINISHWA NA MMOJA WA MAAFISA WA JESHI HILO  SP RICHARD TADEI MCHOMVU(KULIA) KATIKA WAKATI AKIWASILISHA MADA YA UTII WA SHERIA BILA SHURUTI KWENYE SEMINA YA SIKU TATU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU INAYOWENDELEA JIJINI MBEYA.

No comments:

Post a Comment